Wednesday, May 15, 2013

LAZARO: DOWANS DOWANS JAMANI

<a href="http://lazarokapinga.blogspot.com/2011/01/dowans-dowans-jamani.html?spref=bl">LAZARO: DOWANS DOWANS JAMANI</a>: Maisha yako juu , umeme umepandishwa bei, maisha ya vyuoni haya eleweki  5000 kwa siku eni shida  10000 kwa siku haiwezekani eti serikali ha...

Sunday, October 21, 2012

Kawaida mwanamke anaweza pata mimba kuanzia siku tatu kabla ya kuingia kwenye siku zake, hii ni kwasababu katika muda huo tayari yai la mwanamke linakuwa limesha komaa hivo iwapo litakutana na mbegu za kiume ndani ya muda huo Utungisho unafanyika (Mimba inatunga) na kama yai hilo halitakutana na mbegu ya kiume ndani ya muda huo, hupasuka na hatimae damu zina anza kuvuja ndio tunasema mwanamke yuko mwezini. Hivyo basi kama ukijamiiana na mwanamke siku moja kabla ya kuingia kwenye siku zake anapata mimba.


 HAPA KAZI KWAKO!


 



HAPA DHUUUU!


 
 Ni kweli kadhamilia? WALIMU MNAKAZI 



Nini kifanike? tafakarii maana hawa ndio watoto wetu,dada zetu ,ndugu,kaka zetu, na ndio taifa laq kesho.